-
Idadi ya wanaojifungulia kwenye vituo vya kutolea huduma za afya na sehemu zi... 3 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi ya wanaojifungua kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, nyumbani,njiani na kwa wakunga wa jadi. Aidha, linaonyesha asilimia ya... -
Dashibodi ya Afya 0 Resources
Kundi hili lina takwimu ambazo zimetumika kutengeneza dashibodi ya Afya -
Idara ya wagonjwa waliolazwa 10 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi ya magonjwa kutoka idara ya wagonjwa waliolazwa. -
Idara ya wagonjwa wa nje 14 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi ya magonjwa yaliyojitokeza idara ya wagonjwa wa nje katika vituo vya kutolea huduma za afya. Aidha, kundi hili linaonyesha matumizi ya... -
Idadi na sababu za vifo vilivyotokea 4 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi na sababu za vifo vilivyotokea kwa mikoa -
Idadi na asilimia ya wateja wa huduma ya uzazi wa mpango 2 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi ya wateja wa huduma ya uzazi wa mpango wanaoanza na wanaoendelea na huduma. Vilevile inaonyesha asilimia ya wateja wa uzazi wa mpango. -
Idadi na asilimia ya wajawazito waliopata chanjo ya pepopunda dozi mbili au z... 3 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi na asilimia ya wajawazito waliopata chanjo ya pepopunda dozi mbili au zaidi kwa mikoa. -
Orodha ya vituo vya kutolea huduma za afya na mgawanyo wa maeneo 1 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha orodha ya vituo vya kutolea huduma za afya vinavyofanya kazi na mgawanyo wa maeneo -
Idadi ya wafanyakazi wa afya 2 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha idadi ya wafanyakazi wa afya kwa kada mbalimbali kwa mikoa. Pia linaonyesha uwiano kati ya wafanyakazi na idadi ya watu kwa kila watu 10000.... -
Orodha ya vituo vya matunzo na matibabu kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI 1 Resources
Kundi hili la takwimu linaonyesha orodha ya vituo vya matunzo na matibabu kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI kwa wilaya